UN News

Makala Maalum

Ukuaji wa Kiuchumi Nilipopata fursa ya kusoma ili nipate cheti cha kutambuliwa rasmi kuwa mchomeleaji vyuma mwenye stadi, sikuchelea bali nilikuwa na hamu ya kuchukua fursa hiyo. Awali sikuwa na uthibitisho wa stadi hiyo na uzoefu niliokuwa nao ulitokana na kufanya kazi hii kwa miaka 25 na kujifunza nikiwa kazini. Ni simulizi ya Hussein Juma Hassan kutoka Zanzibar, Tanzania, baba wa familia ya mke na watoto 6.

Habari Nyinginezo

Msaada wa Kibinadamu Balozi mwema wa shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Watoto UNICEF Priyanka Chopra Jonas amefanya ziara ya siku mbili nchini Kenya kujionea athari za ukame uliokumba pembe ya Afrika na kusababisha mamilioni ya Watoto kuugua utapiamlo mkali.
Amani na Usalama Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa huko Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR, Valentine Rugwabiza, amesema usaidizi kwa walinda amani wa Umoja wa Mataifa nchini humo sambamba na juhudi za serikali vimekuwa nguzo ya ulinzi wa raia wakati huu ambapo ukosefu wa usalama unasambaa katika maeneo mbalimbali ya nchi.

SIKILIZA HABARI ZA UN

    HABARI ZA UN 20 OKTOBA 2022

    HABARI ZA UN 20 OKTOBA 2022

    UNGA77

    LUGHA YA KISWAHILI KIMATAIFA