UN News

Makala Maalum

Ukuaji wa Kiuchumi Nilipopata fursa ya kusoma ili nipate cheti cha kutambuliwa rasmi kuwa mchomeleaji vyuma mwenye stadi, sikuchelea bali nilikuwa na hamu ya kuchukua fursa hiyo. Awali sikuwa na uthibitisho wa stadi hiyo na uzoefu niliokuwa nao ulitokana na kufanya kazi hii kwa miaka 25 na kujifunza nikiwa kazini. Ni simulizi ya Hussein Juma Hassan kutoka Zanzibar, Tanzania, baba wa familia ya mke na watoto 6.

Habari Nyinginezo

Afya Umoja wa Mataifa na serikali ya Zimbabwe wamezindua awamu ya pili ya kukabiliana na ugonjwa wa surua ambao mlipuko wake ulitangazwa miezi saba iliyopita katika jimbo la Manicaland.
Msaada wa Kibinadamu Shamrashamra zimefanyika hii leo huko Roma, Italia zikiwa na ujumbe wa Hakuna wa Kuachwa nyuma, katika kuhakikisha kila mtu anapata chakula tena chenye lishe bora, shughuli ambayo ni kuelekea siku ya kimataifa ya chakula duniani tarehe 16 mwezi huu wa Oktoba.

SIKILIZA HABARI ZA UN

    JARIDA LA UMOJA WA MATAIFA 13 OKTOBA 2022

    JARIDA LA UMOJA WA MATAIFA 13 OKTOBA 2022

    UNGA77

    LUGHA YA KISWAHILI KIMATAIFA