Anza
Tembelea Duka la Google Play kwenye kifaa chako cha Android ili uone ofa zozote maalum na ujisajili. PATA MAELEZO ZAIDI

Tunakuletea mpango wa Google Play Pass

Pasi ya kufikia mamia ya michezo na programu bora, hamna matangazo wala ununuzi wa ndani ya programu. Watumiaji wapya wanaweza kuanza kwa jaribio lisilolipishwa, kisha watalipa bei nafuu kila mwezi. Pia upo usajili wa kila mwaka.1

Thimbleweed Park
Suzy Cube
Portal Knights
ISS HD Live: View Earth Live
Star Wars™: KOTOR
Toca Nature
Stardew Valley
Pocket City
Photo studio pro
Absolute Drift
The Battle of Polytopia
Forgotton Anne
TItan Quest
What’s in The Oceans?
LIMBO
Tunable: Music Practice Tools
Agent A: A puzzle in disguise
Tiny Guardians
The Tiny Bang Story
Teslagrad
.projekt
Game Dev Tycoon
Bridge Constructor Portal
Sorcery! 4
Mini Metro
Terraria
Swordigo
Sonic the Hedgehog Classic
Hidden Folks
The Almost Gone
The Gardens Between
FRAMED
Cytus II
Reigns: Game of Thrones
Monument Valley 2
Old Man's Journey
Chuchel
Grim Legends: The Forsaken Bride (Full)
King's League: Odyssey
One More Line
ELOH
Lumino City
This War of Mine
Chameleon Run
Wayward Souls
Lichtspeer
Death Squared
Shadow Fight 2 Special Edition

Uko tayari kuanza?

Tembelea Duka la Google Play kwenye kifaa chako cha Android ujisajili1

1

Fungua programu ya Duka la Google Play

2

account_circle Gusa aikoni ya wasifu, kisha Play Pass

Maswali Yanayoulizwa Sana

Google Play Pass inagharimu pesa ngapi?

Gharama za Google Play Pass ni $ 2.49 kwa mwezi na $ 21.99 kwa mwaka nchini Uganda na wasimamizi wa familia wanaweza kushiriki uwezo wa kufikia na hadi wanafamilia wengine watano.2

Ina programu na michezo gani?

Google Play Pass ina mamia ya michezo na programu, tunazidi kuweka mipya kila mwezi. Angalia Duka la Google Play kwenye kifaa chako cha Android ili upitie orodha.

Je, ninahitaji kifaa cha Android?

Ndiyo, Google Play Pass inaweza kutumiwa kwenye vifaa vya mkononi na kompyuta kibao kwa kutumia toleo la Duka la Google Play la 16.6.25 au jipya zaidi na toleo la Android la 4.4 au jipya zaidi. Pia utahitaji Akaunti ya Google inayotimiza masharti (isiwe inayosimamiwa na mzazi, shule au shirika jingine) ili ujisajili.

Ninaweza kupata maelezo zaidi wapi?

Unaweza kuangalia makala yetu ya kituo cha usaidizi ili upate maelezo zaidi kuhusu utaratibu wa Google Play Pass, jinsi ya kuanza kushiriki na familia na mengine.

Wasanidi programu wanaweza kujihusisha vipi?

Iwapo unabuni programu au mchezo ambao unafikiri kuwa utafaa kwenye Google Play Pass, unaweza kupata maelezo zaidi na kujaza fomu hii ili utume ombi la kushiriki.