BBC News, Swahili - Habari
Habari kuu
Video, Miaka 65 ya BBC Swahili: 'Tulipata habari mtu aliyekuwa anawania urais Marekani alikuwa amezaliwa kijiji kimoja Kenya', Muda 3,38
Huku BBC Swahili ikiadhimisha miaka 65 ya kuwepo hewani, Muliro Telewa ambaye pia anafikisha miaka 65 mwaka huu, ameifanyia kazi Idhaa ya BBC kwa miaka 25 kabla ya kustaafu.
Moja kwa moja Shambulizi la Urusi kwenye eneo la madukani ni uhalifu wa kivita - viongozi wa G7
Raia wapatao 1,000 walikadiriwa kuwa ndani ya jumba hilo lenye shughuli nyingi wakati wa shambulio hilo linatokea
'Yeye pekee ndiye niliyekuwa naye' - kujiua kwa polisi wa Kenya
Kikosi kinakabiliana na afya ya akili kusaidia maafisa walioathiriwa na mfadhaiko - lakini kwa wengine msaada huja kuchelewa.
Tetesi za soka Ulaya Jumanne 28.06.2022
Tottenham inataka kumsajili mshambuliaji wa Brazil Richarlison 25, na winga wa Uingereza Anthony Gordon , 21 kutoka Everton katika mikataba miwili . Chelsea pia ina hamu ya kumsajili Richarlison.. (Sky Sports)
Tunafahamu tatizo la kutumika kwa watoto walemavu kwenye shughuli za ombaomba’-Tanzania yajibu ufichuzi wa BBC
Serikali ya Tanzania imekiri kuwepo kwa baadhi ya watu wanaofanya biashara haramu ya ulanguzi wa binadamu kwa kuwasafirisha watoto wenye ulemavu na kisha kuwatumikisha kwenye shughuli mbalimbali ikiwemo 'ombaomba'.
Jinsi ya kuishi miaka 100, Wataalamu waelezea siri
Hapo zamani, maisha marefu yalionekana ni kitu kisichowezekana. Lakini sasa mambo yamebadilika. Je uzee unaweza kucheleweshwa au hata kuzuiwa? Je wale wenye umri wa zaidi ya miaka 100 wanasiri ambayo inaweza kumsaidia kula mtu kuishi miaka mingi?
Video, BBC Africa Eye: Ufichuzi wa watoto Watanzania wanaopelekwa Kenya kuwa ombaomba mitaani, Muda 8,48
Uchunguzi wa BBC Africa Eye umefichua mtandao wa magendo ya binadamu unaosafirisha watoto walemavu kutoka Tanzania hadi Kenya.
Nato sasa yatangaza kuongeza vikosi vyake vya utayari hadi 300,000
Kikosi cha mapambano ya haraka cha umoja huo kwa sasa kina wanajeshi 40,000, huku wengi wao wakiwa kwenye ubavu wa mashariki wa muungano huo.
Uchaguzi Kenya 2022: Yote unayopaswa kujua
Uchaguzi Kenya 2022:Yote unayopaswa kujua
Yote unayopaswa kujua kuhusu uchaguzi wa Kenya Agosti 9 2022
'Kiti changu cha magurudumu hakitanizuia mashindano ya kuendesha gari'
Dereva wa magari ya langalanga Nikhil Sachania hakuwahi kufikiria kuhusu kuacha mchezo wa magari licha ya kupata ajali iliyosababisha jeraha lililobadilisha maisha yake
Fahamu wachezaji wakubwa Ulaya ambao bado wapo huru kujiunga na vilabu vingine
Je, Paul Pogba atarejea Juventus? Je maisha yatakuwaje baada ya Real Madrid kwa Gareth Bale? Na Christian Eriksen anaweza kuishia wapi baadaye?
Je kuondoka kwa Sadio Mane Liverpool kuna athari gani?
Ni ishara ya mchezaji mzuri sana wakati hata shangwe za kumsajili mmoja wa washambuliaji wenye vipaji vya hali ya juu haziwezi kufidia kabisa kuondoka kwake.
Kwanini Haaland anaweza kuipaisha Manchester City?
Halaand ameifungia timu ya taifa ya Norway mabao 20 katika michezo 21 aliyocheza.
Dirisha la uhamisho wa Ligi Kuu ya Uingereza linafunguliwa - Wafahamu Wachezaji wanaohama
Dirisha la usajili la Ligi Kuu ya Uingereza linafunguliwa huku vilabu vikiwa na uwezo wa kusajili rasmi wachezaji msimu huu.
Kylian Mbappe aorodheshwa kuwa 'mchezaji wa thamani zaidi duniani'
Kylian Mbappe, Vinicius Jr na Erling Haaland ndio wachezaji walio na thamani zaidi duniani, yasema utafiti wa kundi la CIES Football Observatory.
Video, Ubingwa wa Afrika ni fahari kubwa sana: Samatta, Muda 24,47
Nahodha wa Tanzania Mbwana Samatta ambaye alishinda Ligi ya Klabu Bingwa Afrika 2015 akiwa na TP Mazembe anasema taji hilo ni fahari ya kila mchezaji kutoka barani Afrika.
Mtu wa kwanza duniani kuchambua soka kwa teknolojia ya kompyuta
Richard Pollard alikuwa wa kwanza kutumia kompyuta kuchambua data za soka. Kazi yake wakati huo ilikuwa muhimu katika kuunda soka ya kisasa tunayotazama sasa
Je, Urusi inapeleka wapi nafaka zilizoibiwa Ukraine?
BBC imezungumza na wakulima, kuchambua picha za satelaiti na kufuata data ya ufuatiliaji ili kutafuta ushahidi wa mahali nafaka zilizoibiwa zinakwenda.
Video, Miaka 65 ya BBC Swahili: Aliyekuwa mkuu wa BBC Swahili Tido Mhando azungumza, Muda 2,46
Baada ya kuishi kwa viwango tajika barani Afrika, amekuwa Mwandishi nguli wa kupigiwa mfano na mtoa hamasa Kwa wengi wanaochipukia sasa Afrika mashariki. Tido Mhando ni Mwafrika wa kwanza kuongoza Idhaa ya Kiswahili ya BBC. Amezungumza na mwandishi wa BBC Martha Saranga na Kwanza anasimulia safari yake hadi kufika
Kutana na wapiganaji wa kigeni wanaojiunga na vita vya Ukraine dhidi ya Urusi
Tangu wakati huo, zaidi ya wanajeshi 20,000 wa kigeni kutoka nchi zaidi ya 50 wamejiunga na vita dhidi ya Urusi.
Sikiliza, Uamuzi wa Mahakama Kuu Tanzania, una maana gani kwa wabunge 19 Chadema?, Muda 3,10
Mahakama Kuu nchini Tanzania imetupilia mbali kesi ya msingi iliyokuwa imefunguliwa na wabunge 19 wa viti maalumu wa CHADEMA ambao walivuliwa uanachama wa chama hicho.
Wanawake wanaofukiza uke kama njia ya urembo na kudumisha afya
Kulingana na utafiti wa Shirika la Afya Duniani WHO, nchini Msumbiji na Afrika Kusini, mwaka wa 2011, baadhi ya wanawake wanafanya mazoezi ya kufukiza uke kama njia ya kudumisha afya na utambulisho wao
Muislamu kutengeza majeneza ya wakristo? Nilitengwa!
Atwai Mwinyi Mkaga ni kijana aliyejiingiza katika utoaji wa huduma za kutengeza majeneza na hivyo kutokana na imani yake ya dini ya kiislamu, alijikuta akiwa na wakati mgumu ikiwemo kutengwa na familia yake ambayo awali haikufurahishwa na biashara ya kutengeza majeneza kwa waktristo.
Tazama: Rwanda inavyowawezesha wakimbizi kubuni nafasi za kazi
Rwanda imeanza mpango wa kusaidia wakimbizi kubuni nafasi za kazi
Tazama Rais Biden alivyoanguka kutoka kwa baiskeli baada ya safari ya Delaware
Kiongozi huyo wa Marekani alianguka baada ya kuendesha baiskeli katika Ufuo wa Rehoboth, Delaware, lakini akasema hakuumia
Video, 'Licha ya kuwa tuko nje ya bunge tuna heshima kubwa nchini'- Sugu, Muda 8,07
Wiki hii katika Nyota wa Afrika Mashariki tunamuangazia mwanamuziki nguli wa Hip Hop nchini Tanzania Joseph Mbilinyi a.k.a Mr 2 Sugu ambaye ni mwanamuziki, mwanasiasa na muandishi.
Video, Kundi la kwanza la familia 27 waliokuwa wakiishi hifadhini Ngorongoro laondoka kuanza maisha mapya Tanga, Muda 1,09
Kundi la kwanza la wananchi waliokuwa wakiishi ndani ya hifadhi ya Ngorongoro nchini Tanzania limepewa fidia na kuondoka rasmi leo kuelekea Tanga kuanza maisha mapya.
Taarifa kuhusu Coronavirus
Janga la Corona miaka miwili: Mambo matano tuliyojifunza
Mnamo Machi 11, 2020, Shirika la Afya Duniani lilitangaza rasmi mlipuko wa Covid-19. Hivi ndivyo mambo yalivyobadilika
'Covid ilinihofisha nikagandisha yai langu'
Kliniki zinazoongoza za uzazi nchini Uingereza zinaendelea kushuhudia ukuaji wa matibabu ya kugandisha yai.
Omicron na Delta zasababisha tsunami ya kesi za covid-WHO
Walakini, Dk Tedros aliwaambia waandishi wa habari kampeni kubwa nchi tajiri kutoa chanjo za ziada "zina uwezekano wa kuongeza muda wa janga hili", kwani wanaelekeza vifaa kutoka kwa nchi masikini, ambazo hazina chanjo,
Kwa nini Afrika imeshindwa kufikia lengo la chanjo ya kimataifa
Lengo la kufikia 40% ya viwango vya chanjo kamilifu katika kila nchi hadi kufikia mwisho wa mwezi Disemba halijafanikiwa barani Afrika.
Nitajitunza vipi baada ya kupata Covid?
Ni lini inafaa kuondoka kwenye kiti au kitanda ?
Dalili za Omicron: Je mafua ni dalili ya virusi vya corona?
Je mafua yanaweza kuwa dalili ya Omicron?
Maswali yako matano kuhusu kirusi hatari cha corona yajibiwa
Mara tu omicron kilipotajwa kuwa aina ya kirusi kipya tarehe 26 Novemba, mjadala kuhusu kiruisi hiki ulichacha kwenye mitandao.
Je unaweza kuugua baada ya kupata chanjo ya Corona?
Zaidi ya mtu mmoja kati ya watu 10 anaweza kuhisi adhari baada ya kuchanjwa, ikiwa ni pamoja na maumivu ya kichwa, uchovu na kuvimba sehemu ulipochomwa sindano ya chanjo.
Ramani mubashara hali ya coronavirus duniani
Tayari virusi hivyo vimesambaa katika mabara yote duniani isipokuwa Antarctica
Tuyajenge
Sikiliza, Udhalilishaji wa kingono nini?, Muda 28,58
Makala haya yanaangazia suala la unyanyasaji wa Kingono nchini Tanzania na kuonesha namna vitendo hivyo vinavyoweza kuleta athari kwa jamii kama visipoepukwa.
Global Newsbeat
Sikiliza, Meegan The Stallion ataka Troy afungwe jela, Muda 2,01
Nyota wa Rap Meegan The Stallion anataka Troy afungwe jela kwa kumpiga risasi mguuni mwaka wa 2020
Kwa picha: Tuzo za mpigapicha bora wa picha za Dunia Asilia
Wapigapicha kutoka kote duniani waliingia katika shindano la kuwania tuzo za mpigapicha bora wa dunia asilia, ambapo washiriki waliombwa kuwasilisha picha ambazo zinaonyesha maisha duniani na tisho llinaloikabiri sayari yetu. Picha zitakazoshinda zitaonyeshwa katka taasisi ya California Academy of Sciences iliyopo San Francisco, Marekani. Tuliangalia picha zilizoshinda na zilizofuzu mkiwemo zile za nyuki, popo anayepaa. Tazama...
Dira TV
Video, Matangazo ya Dira Ya Dunia TV 27/6/2022, Muda 24,01
Matangazo ya Dira Ya Dunia TV 27/6/2022 na Esther Kahumbi
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 28 Juni 2022, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 28 Juni 2022, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 28 Juni 2022, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 27 Juni 2022, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Gumzo mitandaoni
Mzozo wa DRC: Wanafunzi wanaosoma katika shule za mpakani na Rwanda wakwama
Wanafunzi wa Rwanda wanaosoma mjini Goma-DRC wanakabiliwa na vitisho vya usalama kutokana na mzozo uliopo kati ya nchi hizo mbili jirani.
Jinsi China na India zinavyoisaidia Urusi kukwepa vikwazo kwa kununua mafuta kwa bei nafuu
Urusi imepata wateja wapya wa sekta yake kubwa ya mafuta na gesi ambao wanaisaidia kukabiliana na vikwazo vikali vya kiuchumi iliyowekewa na nchi za magharibi.
Roe v Wade: Mahakama ya Juu zaidi ya Marekani yakomesha haki ya kikatiba ya utoaji mimba
Akilaani uamuzi wa Mahakama ya Juu, Rais Biden aliwaambia wanawake katika majimbo ambayo ni marufuku kusafiri kwenda katika maeneo ambayo haikuwa hivyo.
Jumuiya ya Afrika Mashariki, majeshi na mustakabali wa amani DRC
Ugumu wa mgogoro wa DRC unachangiwa na wingi wa makundi ya waasi. Hadi Februari mwaka huu, kuna jumla ya makundi 120 yaliyojificha huko kwa mujibu wa mtandao wa gazeti la The Guardian la Uingereza.
Matumizi ya Lugha
Pengine kitu muhimu kabisa katika uandishi wa habari ni lugha. Kutumia lugha sawa na sahihi inawapa nafasi waandishi wa habari kuripoti habari na wakati huohuo kufuata mwongozo wa uhariri wa BBC. Lugha inaendelea na kubadilika; hapa utapata ushauri kuhusu lugha sahihi na isiyopendelea, athari za mitandao ya jamii juu ya lugha yako na mengi zaidi.
Sikiliza, Njia za kukabili habari feki mtandaoni, Muda 6,57
Habari za uzushi au habari feki zimekuwa zinasambazwa haraka, hasa katika mtandao wa internet. Vipi waandishi wa habari wazikabili.