Paris

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Paris

Bendera

Nembo

Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Ufaransa" does not exist.Mahali pa mji wa Paris katika Ufaransa

Majiranukta: 48°51′24″N 2°21′3″E / 48.85667°N 2.35083°E / 48.85667; 2.35083
Nchi Ufaransa
Mkoa Île-de-France
Wilaya Paris
Idadi ya wakazi (2019)
 - 2,140,526
Tovuti: http://www.paris.fr/
Sehemu mojawapo katika mji wa Paris

Paris (kwa Kifaransa: Fr-Paris.oga [paʁi] (info)) ndiyo mji mkuu na mji mkubwa wa Ufaransa ukiwa na wakazi 2,140,526 mwanzoni mwa mwaka 2019.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Mji wa Paris unapatikana katika Ufaransa ya kaskazini.

Mto Seine unatiririka kupitia mji huo.

Picha[hariri | hariri chanzo]


Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Flag France template.gif Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Paris kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.