Illinois

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Sehemu ya Jimbo la Illinois
Illinois

Bendera

Nembo
Nickname: Land of Lincoln
Nchi Bendera ya Marekani Marekani
Mji mkuu Springfield
Eneo
 - Jimbo 149,998 km²
 - Bara 143,961 km² 
 - Maji 6,037 km² 
Tovuti: http://www.illinois.gov/
Ramani ya Illinois

Illinois ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Ilikuwa jimbo la Marekani tangu 1818. Iko katika magharibi ya kati ya nchi ikipakana na majimbo ya Wisconsin, Iowa Missouri, Kentucky na Indiana. Upande wa kaskazini - mashariki imepakana na Ziwa Michigan.

Eneo la jimbo ni 140,998 km² likiwa na wakazi 12,831,970 hivyo kuna msongamano wa watu 86.27/km². Idadi kubwa hukaa katika rundiko la jiji la Chicago penye wakazi milioni 9.

Mji mkuu ni Springfield lakini mji mkubwa ni Chicago. Kwa miji mingine angalia Orodha ya miji ya Illinois.

Watu kutoka Illinois[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Illinois Locator Map.PNG Makala hii kuhusu maeneo ya Illinois bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Illinois kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.