Marketplace hurahisisha kugundua, kununua na kuuza bidhaa kindani au zilizosafirishwa

Tumia akaunti yako ya Facebook ili kupata unachohitaji na kuuza usichohitaji.

Maelezo ya COVID-19 kwa wanunuzi na wauzaji

Jifunze vidokezo vya jinsi ya kununua na kuuza kwa umakini unapotumia Facebook Marketplace.

Jifunze Zaidi

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa mara

1.

Marketplace ni nini?

Marketplace ni njia rahisi, inayofaa kununua na kuuza katika eneo lako. Unaweza kuanali kwenye orodha au tafuta bidhaa za karibu nawe ili kupata vitu vizuri vya kununua.

2.

Kwa nini nafaa kutumia Marketplace?

Unaweza kurodhesha bidhaa na kupata shughuli bora moja kwa moja kwenye Facebook. Huhitaji kupakua programu nyingine au kufungua akaunti mpya. Fikia maelfu ya watu kwenye jumuiya yako ya ndani na upate bidhaa za kipekee za mauzo.

3.

Ni wapi naweza kuipata?

Marketplace inapatikana kwenye programu ya Facebook na kwenye eneo kazi. Tafuta kwenye sehemu ya chini ya programu hiyo kwenye iOS au kwenye sehemu ya juu ya programu hiyo kwenye Android. Iwapo unatumia kivinjari cha wavuti, unaweza kupata ikoni hii ya Marketplace kwenye sehemu ya kushoto ya ukurasa wa Facebook.

4.

Watu hununua na kuuza aina gani za bidhaa?

Unaweza kupata kila kitu kuanzia nguo, TV, magari na hata nyumba. Watun na biashara zinaweza kuorodhesha vitu vya kuuza, iwapo ama ni bidhaa zilizotumika au ni bidhaa mpya kabisa. Tazama orodha kamili kwenye Marketplace.

5.

Ni vipi nitawasiliana salama kwenye Marketplace?

Watu wanaweza kuona tu taarifa unayoshiriki kwa umma kwenye Facebook. Unapata kuamua kiasi cha taarifa cha kushiriki. Tumia Facebook Messenger au wasiliana kupitia Marketplace ili kuepuka utapeli na ulaghai. Usishiriki maelezo yako ya kibinafsi au ya benki.

6.

Ni vipi nitaripoti shida?

Tunataka uwe na tajiriba bora wa kutumia Marketplace. Iwapo una suala na mtu au bidhaa iliyoorodheshwa, kama vile kukiuka viwango vya jumuiya, tabia ya dhuluma au utapeli, ni rahisi kuripoti kwenye Facebook. Tafuta tu kiungo cha ripoti kwenye ukurasa wa maelezo ya orodha au kwenye wasifu wa Marketplace wa muuzaji/mnunuzi.

7.

Unahitaji kuwa na umri gani ili kutumia Marketplace?

Lazima uwe na umri wa miaka 18 au zaidi ili kununua na kuuza kwenye Marketplace.

8.

Marketplace inapatikana wapi?

Marketplace inapatikana kwa watu wengi wenye umri wa miaka 18 na zaidi katika Visiwa vya Aland (Finlandi), Albania, Algeria, Samoa ya Marekani, Andorra, Angola, Antarctica, Antigua na Barbuda, Argentina, Armenia, Australia, Austria, Azabaijani, Bahreni, Bangladesh, Barbados, Belarusi, Ubelgiji, Belize, Benini, Bermuda, Bhutani, Bolivia, Bonaire, Botswana, Brazili, Eneo la Bahari Hindi la Uingereza, Visiwa vya Virgin vya Uingereza, Bulgaria, Burkina Faso, Burundi, Kambodia, Kameruni, Kananda, Cape Verde, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Chad, Chile, Kisiwa cha Christmas, Visiwa vya Cocos (Kneeling), Kolombia, Komoros, Visiwa vya Cook, Costa Rica, Croatia, Curacao, Cyprus, Jamhuri ya Cheki, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Denmaki, Djibouti, Dominica, Jamhuri ya Dominica, Ekuado, Misri, El Salvado, Gine ya Ekueta, Eritrea, Estonia, Ethiopia, Visiwa vya Falkland, Visiwa vya Faroe, Majimbo Huru ya Micronesia, Fiji, Finlandi, Ufaransa, Polisenia ya Ufaransa, Gabon, Gambia, Jojia, Ujerumani, Ghana, Gibraltar, Ugiriki, Greenlandi, Grenada, Guadeloupe, Guam, Guatemala, Guernsey, Guinea, Guinea-Bissau, Guyana, Haiti, Hondurasi, Hong Kong, Hungaria, Iceland, India, Indonesia, Iraq, Ayalandi, Isle of Man, Israeli, Italia, Kodivaa, Jamaica, Jan Mayen, Jersey, Jordan, Kazakhstani, Kenya, Kiribati, Kosovo, Kuwait, Kyrgyzstani, Laos, Latvia, Lebanon, Lesotho, Liberia, Libya, Liechtensteini, Lithuania, Lasembagi, Macau, Madagaska, Malawi, Malaysia, Maldives, Mali, Malta, Visiwa vya Marshall, Mauritania, Mauritius, Meksiko, Moldova, Monaco, Mongolia, Montenegro, Monteserrat, Moroko, Msumbiji, Namibia, Nauru, Nepali, Uholanzi, Kaledonia Mpya, Nyuzilandi, Nicaragua, Niger, Nigeria, Niue, Visiwa vya Norfolk, Visiwa vya Mariana Kaskazini, Norwe, Omani, Pakistani, Palau, Upalestina, Panama, Papua New Guinea, Paraguay, Peru, Ufilipino, Visiwa vya Pitcairn, Polandi, Ureno, Puerto Rico, Qatar, Jamhuri ya Congo, Romania, Urusi, Rwanda, Mtakatifu Barthelemy, Mtakatifu Kitts, Mtakatifu Lucia, Mtakatifu Martin, Mtakatifu Pierre na Miquelon, Mtakatifu Vincent na Grenadines, Samoa, San Marino, Sao Tome na Prinsipe, Saudi Arabia, Senegali, Serbia, Uselisheli, Sierra Leone, Singapuri, Sint Eustatius na Saba, Sint Maarten, Slovakia, Slovenia, Visiwa vya Solomon, Somalia, Afrika Kusini, Visiwa vya Jojia Kusini na Sandwich Kusini, Sudan Kusini, Uhispania, Sri Lanka, Mtakatifu Helena, Suriname, Svalbard na Jan Mayen, Swaziland, Uswidi, Uswizi, Taiwan, Tajikistani, Tanzania, Thailandi, Bahamas, Timor-Leste, Togo, Tokelau, Tonga, Trinidad na Tobago, Tunisia, Uturuki, Takmenistani, Turks na Caicos, Tuvalu, Uganda, Muungano wa Miliki za Kiarabu, Uingereza, Visiwa vya United States Minor Outlaying, Marekani, Uruguai, Uzabakistani, Vanuatu, Jiji la Vatican, Venezuela, Vietnam, Wallis na Futuna, Sahara ya Magharibi, Yemen, Zambia na Zimbabwe. Unaweza kutumia Marketplace kwenye iPhone 5 au toleo jipya zaidi, Android na iPad yenye programu ya Facebook au kwenye eneo-kazi lako katika www.facebook.com/marketplace.

© Facebook. Haki Zote Zimehifadhiwa.

Unaweza pia kuona mahali Marketplace inapatikana kwenye mwongozo wa Marketplace.

Je, una maswali zaidi? Unaweza kupata maelezo zaidi kwenye Kituo cha Usaidizi.

KuhusuFaraghaMashartiVidakuziMsaada