Kidenmark

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Lahaja za Kideni

Kidenmark ni moja kati ya lugha za Kigermanik, kinazungumzwa nchini Denmark, Visiwa vya Faroe, na sehemu kadhaa za Grinlandi na Ujerumani (Kusini mwa Schleswig). Idadi ya wasemaji wa lugha hii inakadiriwa kuwa ni milioni 5,5. Nchini Grinlandi na Kisiwani Faroe, lugha hii inatumika kama ya pili kitaifa. Kwa watu wa Denmaki, au Wadeni, lugha hii inajulikana kama dansk.

Hapa kuna mifano miwili ya Kideni:

Kiswahili Kideni
Salam Hej
Kwaheri Farvel
Ahsante Tak
Unatoka Wapi ? Hvor kommer du fra?
Pamoja Med
Mimi Jeg
Ndiyo Ja
Hapana Nej
am/are/is Er
Kiingereza Engelsk
Kama Hvis
Ninakupenda Jeg elsker dig
Chumba Værelse
Copenhagen København
Ankara Regning
Msosi Mad
Sawa Okay
Mwamvuli Paraply
Wapi Hvor
Nani Hvem
Ipi Hvilken/hvilket
Bei Prisen
Iko wapi Hvor er
Uwa. Ndege Lufthavn
Barabara Vej
Jogoo Hane
Kuku Jike Kylling
Samaki Fisk
Asiyekula nyama Vegetar
Fananisha Sammenligne
Treni Tog

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidenmark kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.