Vichujio vya Utafutaji Salama
Hatua ya kuwasha kipengele cha Utafutaji Salama husaidia kuficha maudhui chafu, kama vile ponografia. Mapendeleo kwenye kipengele cha Utafutaji Salama yanaweza kuwekwa na msimamizi wa mtandao au kifaa chako. Iwapo huwezi kukizima, wasiliana na msimamizi wa mtandao au kifaa chako.