Rangi
Jump to navigation
Jump to search
Kwa matumizi ya misimbo hii tazama Msaada:Rangi
Orodha ya Rangi
Rangi | Sampuli | Msimbo wa HTML |
---|---|---|
Nyeusi | #000000 | |
Kijivujivu | #808080 | |
Kijivu | #B2BEB5 | |
Fedha | #C0C0C0 | |
Udongo | #553A26 | |
Kahawia | #6F4E37 | |
Chokoleti | #7B3F00 | |
Kutu | #B7410E | |
Shaba | #B87333 | |
Hudhurungi | #C78200 | |
Ukaria | #CC7722 | |
Marungi | #D2691E | |
Zambarau | #800080 | |
Urujuani | #8F00FF | |
Nili | #6F00FF | |
Buluu | #0000FF | |
Samawati | #87CEEB | |
Feruzi | #30D5C8 | |
Kijani | #00AA00 | |
Zaituni | #808000 | |
Zumaridi | #50C878 | |
Chanikiwiti | #A3FF00 | |
Ndimu | #BFFF00 | |
Manjano | #ffff00 | |
Mahindi | #FBEC5D | |
Dhahabu | #FFD700 | |
Kaharabu | #FFBF00 | |
Machungwa | #FF7F00 | |
Nyekundu | #FF0000 | |
Waridi | #FF007F | |
Pinki | #FFC0CB | |
Lulu | #EAE0C8 | |
Mtindi | #FFFDD0 | |
Nyeupe | #FFFFFF |
Majina ya HTML
Majina yafuatayo ya Kiingereza yanatambuliwa pamoja na misimbo ya wikipedia:
- Uandishi huu (white) (white)
- Uandishi huu (silver)
- Uandishi huu (gray)
- Uandishi huu (black)
- Uandishi huu (red)
- Uandishi huu (maroon)
- Uandishi huu (yellow)
- Uandishi huu (olive)
- Uandishi huu (lime )
- Uandishi huu (green)
- Uandishi huu (aqua)
- Uandishi huu (teal)
- Uandishi huu (blue)
- Uandishi huu (navy)
- Uandishi huu (fuchsia)
- Uandishi huu (purple)
- Uandishi huu (turquoise)
- Uandishi huu (cyan)
- Uandishi huu (lime)
- Uandishi huu (chartreuse)
- Uandishi huu (gold)
- Uandishi huu (orange)
- Uandishi huu (brown)
- Uandishi huu (pink)
- Uandishi huu (magenta)
- Uandishi huu (indigo)
Kwa matumizi ya misimbo hii tazama Msaada:Rangi
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rangi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |