Bern

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Bern, Uswisi
Jiji la Bern

Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Uswisi" does not exist.Mahali pa mji wa Bern katika Uswisi

Majiranukta: 46°57′N 7°26′E / 46.95°N 7.433°E / 46.95; 7.433
Nchi Uswisi
Majimbo Jimbo la Bern
Idadi ya wakazi
 - 123.000
Tovuti: www.bern.ch
Bern mwaka 1638

Bern (pia: Berne, Berna) ni mji wa shirikisho wa Uswisi na mji mkubwa wa nne katika nchi. Bern ni pia mji mkuu wa jimbo la Bern. Iko kando la mto Aar. Hivyo ina nafasi ya mji mkuu ingawa shirikisho la Uswisi halina mji mkuu kikatiba.

Wakazi walio wengi hutumia lugha ya Kijerumani kwa lahaja ya Bern.

Mji uliundwa mwaka 1191 ukapokea jina kutokana jina la Kijerumani la dubu ("Bär").

Mkazi mashuhuri wa Bern alikuwa Mjerumani Albert Einstein aliyeunda nadharia zake za fizikia ya kisasa alipofanya kazi mjini Bern

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Švýcarsko-pahýl.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Uswisi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bern kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.